Mazungumzo ya Dini
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika salamu zake za Krismasi kwa Papa Francis, amesema: Kusherehekea kuzaliwa kwa Nabii Isa Masih (AS) ni fursa ya kiroho ya kukumbusha Amri za Mwenyezi Mungu na mafundisho ya thamani ya manabii wote kwa ajili ya kutimiza haki, amani, na uhuru.
Habari ID: 3479954 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/26
TEHRAN (IQNA) Leo Disemba 25 inasadifiana na siku aliyozaliwa Nabii Isa Masiih- Amani Iwe Juu Yake (AS) kwa mujibu wa imani ya Wakristo waliowengi.
Habari ID: 3471786 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/25